
Hakika umeondoka ghafla sana kaka, tulikuwa tumekuzoea sana na sidhani kama atakuja kutokea mtu wa kuziba pengo lako kaka....Huu wimbo tumwimba kwa ajili yako. Hakika ungetazama jinsi gan watu walivyokulilia nadhani ungerudi hata kutuaga...KAZA MOYO...BONGO ALL STARS TUMEKUIMBIA NA TUMEWAIMBIA PIA WALIOGUSWA SANA NA MSIBA WAKO. R.I.P BROTHER
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !